Bodi ya Mikopo itatangaza majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 ambao madeni yao yameiva.
Majina ya Wadaiwa sugu yatawekwa hadharani tarehe 13 Novemba, 2016. Wasugu hao watapewa siku 30 kulipa madeni yao. Baada ya muda huo, hatua za kisheria zitachukuliwa na wahusika watalipia gharama za kuwasaka.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0763 459165 au 0767 513208
Imetolewa na:
MKURUGENZI MTENDAJI
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
03/11/2016
MKURUGENZI MTENDAJI
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
03/11/2016
0 comments:
Post a Comment