Mkuu
wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiteta na Mlemavu
ambaye amemkuta katika eneo la uwanja wa fisi akinywa pombe za kienyeji
na kumsihi aache kunywa pombe hizo, leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiwa ameongozana na
Kamanda wa kanda maalum ,Simon Sirro kugonga nyumba za baadhi ya akina
dada ambao hufanya biashara ya kujiuza katika eneo la uwanja wa fisi,
leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiwa na Kamanda wa
kanda maalum ,Simon Sirro wakiangalia bia ambazo zinauzwa uwanja wa fisi
zikiwa zimekwisha muda wake,ambazo inaelezwa zimekuwa zikitumika kwa
ajili ya matumizi ya Binadamu, leo jijini Dar es Salaam.Picha na Emanuel
Masaka-Globu ya Jamii
0 comments:
Post a Comment