Saturday, 26 November 2016

MH.UMMY MWALIMU :TAHADHARI KUHUSU UTAPELI HUU

...
 MoHCDGEC


"TAHADHARI YA UTAPELI UNAOFANYWA KUPITIA JINA LA MHE.UMMY MWALIMU, NA MTU ANAYEJITAMBULISHA ANAITWA MHE.PROF.SOSPETER MUHONGO KAMA KATIBU WA HARAMBEE YA UJENZI WA ZAHANATI SIMIYU.HAKUNA HARAMBEE HIYO NA WIZARA HAINA AKAUNTI YA BARUA PEPE HIYO"
From: ummy mwalim [mailto:wizarayaafya33@gmail.com]
Sent: Sunday, November 13, 2016 10:36 PM
To: Shayo, Simon
Subject: HARAMBEE YA MCHANGO WA UJENZI WA ZAHANATI NA VIFAA VYA UKUNGA MKOANI SIMIYU,KAHAMA VIJIJINI MKOA WA SHINYANGA NA WILAYA YA MSALALA MWANZA.

Habari za kazi
Uongozi wa Geita gold mining Co ltd tunayo furaha kuwaalika na kuwataka na kuwaomba na kuwasihi kwa jina la mungu mwenyezi na kwa huruma na upenda dhidi ya Kuhudhuria na kuchangia kongamano kuu litakalo fanyika mwisho wa mwezi huu wa Novemba ukumbi wa benk kuu ya Tanzania kwa minajiri ya kukusanya harambee ya kuokoa maisha ya wanawake wanaojifungua katika mazingira magumu na yenye utata .Aidha serikali inatakwimu juu ya wahanga walio athirika na upoteaji wa mama na watoto kutokana na hali ya miundombinu ya kiafya kutoboreshwa na kusababisha madhila yaliyo pelekea vifo vya watoto na akina mama kwa ujumla.
Kama ilivo kuwa kauli mbiu ya Mkuu wa nchi ya HAPA KAZI TU,tunapenda kuchukua fursa hii kuwaomba kuhudhiria katika mkutano mkuu dhidi ya urekebisha na ushirikiano dhidi ya kufanikisha ujenzi wa ZAHANATI na vifaa vya afya vitakavyo gharim Tanzania shilingi bilioni 2.9tu.aidha serikali imeweka azma dhidi ya maendeleo ya mwaka na maendeleo ya millenium yatakayo chukua miaka10 ili kukamilika na pia wizara ya afya haiwezi kuona wanawake na watoto wakiweza kupoteza maisha kwa ajili ya malengo ya milenium,kwa ushirikiano na serikali tunapenda kuomba uhudhuriaji wenu katika harambee hiyo itakayo fanyika mwishoni mwa mwezi huu juu ya katiba ya sheria ya mwaka 1999 kifungu cha 11[a][d]inayotoa wito wa wananchi wote huruma na mapenzi ya uzalendo kuhusika kikamilifu aidha kwa namna yoyote dhidi ya kuboresha taifa na maendeleo kwa kila jitihada na katika mazingira yanayo tuzunguka kwa hali na mali kwa faida ya taifa na watu wake,
serikali ya awamu ya tano imeweza kualika baadhi ya taaasisi tofauti ikiwemo taasisi ya Mh Jakaya ya kitengo cha afya,taassisi ya benjamim mkapa foundation,Gsm foundation,Ipp foundation,bakhresa foundation,aghakhan foundation,Karimjee foundation,toyota foundation,al-barakat foundation,al hooshoom co ltd,geita gold mining[GGM],Regency hospital .Kairuki ,CCBRT,wadau wa afya toka marekani USAID na wadau wa taifa wa mpango wa afya na kutokomeza umaskini duniani[ WHO] wadau na balozi tofauti kutoka nchi tofauti ikiwemo marekani kama katibu wa kongamano,wageni kutoka umoja wa mataifa [UN],WESTERN EUROPEAN COPERATION,EMBASSY OF UNITED STATES OF AMERICA,EMBASSY OF CHINA na baraza la afya la kikatoliki kutoka Romania ambayo yatawakilishwa na wawakilishi kutoka katika kila taasisi hilo,pia baada ya harambee hio tutakuwa na matembezi ya jioni yatakyo azia viwanja vya karimjee mjini dar es salaam,
aidha tunawaomba kuhudhuria na tunawaomba kuwasilana na Mh waziri wa afya kama kiongozi juu ya hafla hio au Mh sospeter mhongo waziri wa nishati na madini kama katibu mteule dhidi ya hafla hii aidha kunapo nawasiliano hayo mtapewa ratiba dhidi ya ratiba ya mkutano huo
asanteni kwa kuitikia witi na tunaashukuru sana.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger