Audio hii inaweza kuwaimevuja kwani yeye
mwenyewe hajaweza kuipa promo kwenye akaunti yake yoyote mtandaoni
ambapo si jambo lakawaida kwake.
Moja ya Mistari inayopatikana kwenye wimbo huo unasema
“Tatizo sielewi nikipi nilichowakosea
walimwengu, Mbona nimejawa na dhiki, Nyama mnakula nyie mimi ni
Dengu,Tena kinachoniadhibu mnayosema baya mazuri hamuyaoni, Wengine
rafiki wa karibuMioyoni mnaroho mbaya mnanichekea usoni”
SIKILIZA HAPA
0 comments:
Post a Comment