Aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura kupitia kwa Mwanasheria wake Emmanuel Muga imeelezwa kuwa ameridhia adhabu ya kufungiwa Maisha na TFF na FIFA. Pamoja na hayo Wambura kupitia kwa mwanasheri wake Emmanuel Muga ametangaza kuwa kwa sasa kuanzia leo February 11 2019, anaachana rasmi na shughuli za mpira wa miguu, atabaki kama mtu wa kawaida tu. Hata hivyo Wambura pia ameamua kufuta kesi zote alizokuwa amezifungua kuhusiana na kupinga maamuzi ya kamati ya maadili ya TFF.
0 comments:
Post a Comment