Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amelazimika kuahirisha kagua ukarabati wa Shule Kongwe ya Sekondari Pugu, Jijini Dar es Salaam baada ya uongozi wa mkoa na Manispaa ya Ilala kueleza kuwa hawajui lolote kuhusu ukarabati huo unao gharimu zaidi ya shilingi bilioni 1 kwa madai kuwa hawajashirikishwa. Dkt. Kijaji amechukua uamuzi huo baada ya Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Yokobeth Malisa, Afisa Mipango Manispaa ya Ilala Bw. Ando Mwankuga, Afisa Elimu Taaluma Mkoa wa Dar es Salaam Mwl. George Lukoa na Mkuu…
0 comments:
Post a Comment