MANISPAA YA IRINGA YAONGOZA TENA UKUSANYAJI MAPATO Na Francis Godwin, Iringa MADIWANI wa halamshauri ya Manispaa ya Iringa mkoani Iringa wameipongeza halmashauri hiyo kwa kuendelea kuongoza kitaifa katika ukusanyaji wa mapato kwa kundi la Halmashauri za Manispaa nchini . Madiwani hao walitoa pongezi hizo jana mara baada ya taarifa ya mstahiki meya wa Manispaa ya Iringa Alex Kimbe kutoa taarifa rasmi katika kikao hicho kuhusu Manispaa ya Iringa kuongoza kwa ukusanyaji wa mapato kwa mwezi Januari . Diwani wa kata ya Mwangata Edward Chengula alisema kuwa ni hatua ya kujipongeza…
0 comments:
Post a Comment