Sunday, 17 February 2019

LUGOLA ATOA WIKI MOJA KWA POLISI KUFANYA UCHUNGUZI, KUWAKAMATA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA WANAWAKE MTO WA MBU ARUSHA

...
Na Mwandishi Wetu, Monduli WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ametoa wiki moja, Jeshi la Polisi kuhakikisha linafanya uchunguzi wa kina kwa kuwakamata watuhumiwa waliofanya matukio ya kikatili ya ubakaji na mauaji ya wanawake yaliyotokea Mto wa Mbu Wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha. Akizungumza na wananchi wa Mji mdogo wa Mto wa Mbu, wilayani humo, jana, kutokana na matukio hayo, Waziri Lugola amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, kushirikiana na Mkuu wa Polisi wa Wilaya hiyo, na kusimamiwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, kuhakikisha uchunguzi wa…

Source

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger