Thursday, 21 February 2019

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA

...
Na Stephen Noel Mpwapwa -Dodoma.    Mahakama ya wilaya ya Mpwapwa imewahukumu watu watatu akiwemo baba na mwanae wakazi wa kijiji cha Msagali darajani kata ya Chunyu wilayani Mpwapwa kila mmoja kifungo cha miaka 30Jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.  Watu hao ni Baba mzazi Raphael Mkwai wa miaka (54) na mwanae Kombozo Kenneth( 30) pamoja na shemeji wa baba huyo  huyo Msafiri Machimo (22) wenye kesi namba 130 ya mwaka 2017 iliyo kuwa inasikilizwa na Hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya hiyo,Pascal Mayumba na…

Source

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger