Mr. Abdul Nondo, ni
mratibu wa mtandao wa wanafunzi TANZANIA (TSNP) mkoa wa kigoma. Kuna
program ameianzisha ya kuzungukia Shule mbali mbali TANZANIA,
Mr. Abdul Nondo
kuhamasisha wanafunzi kidato cha 1 hadi cha nne kutimiza wajibu wao, na
kuvaa majukumu Yao, na kujifungia...
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo,Freeman Mbowe
ametangaza kusitishwa kwa maandamano ya Oparesheni UKUTA yaliyokuwa
yamepangwa kufanyika kesho nchi nzima hadi tarehe moja Octoba.
Akizungumza na wanahabari leo, makao makuu ya chama hicho, Mtaa wa
Ufipa, Kinondoni...
Walimu
22 wa Shule ya Sekondari ya Azania Manispaa ya Ilala, akiwamo Mwalimu
Mkuu, wamehamishwa kwa kile kilichodaiwa ni kutokana na matokeo mabaya
ya kidato cha sita.
Chanzo hicho cha habari kiliongeza kuwa kati ya walimu hao, 17 walikuwa
wanafundisha kidato cha tano na sita huku...
Mwili wa marehemu
Stanslausi Kalinga (42) aliyefariki akiwa mikononi mwa polisi ulizikwa
saa 4.00 za usiku nje kidogo ya Mji wa Mlowo baada ya ndugu zake
kukubali yaishe.
Marehemu
ambaye ameacha mke na watoto wanne alifariki akiwa mikononi mwa polisi
jambo lililosababisha vurugu...
NAIBU
Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),
Selemani Jaffo, amesema Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, ina
wanafunzi hewa 4445 ambao wanasoma katika shule za sekondari za serikali
kinyume na utaratibu. Jaffo aliyasema hayo wakati akizungumza
na Watumishi wa...
Katika
hali isiyokuwa ya kawaida Prof Lipumba ameendelea Kung’ang’ania kiti
cha uenyekiti wa chama chake cha CUF na kusema kikao kilichokaa jana
visiwani Zanzibar na kufanya maamuzi ya kuwasimamisha uanachama,
hakikuwa halali na kilikuwa nje ya katiba ya CUF, sababu mojawapo...