Saturday, 14 June 2014

MLIPUKO WA BOMU ZANZIBAR: KITU KIDHANIWACHO KUWA NI BOMU KIMELIPUKA HUKO ZANZIBAR USIKU HUU NA KUUA MMOJA

...

Bomu 

Mtu 1 amefariki na wengine kujeruhiwa baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa bomu, kurushwa karibu na msikiti, darajani Zanzibar. 



Kuna taarifa ya kutokea mlipuko na mlio mkubwa mithili ya bomu umetokea maeneo ya Darajani karibu na msikiti na kujeruhi Wahadhiri waliokuwepo katika msikiti wa Darajani mara baada ya kumalizika Sala ya Isha.

 
Mlipuko huo unasemekana umetokea baada gari ambalo lililopita mbio na kurusha kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye gari ambalo wangelitumia wahadhiri waliokuwa katika Muhaadhara ndani ya Msikiti
 
Kuna taarifa kwamba mtu mmoja mpaka sasa amepoteza maisha.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger