Mwenyekiti wa zamani wa CUF,Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa chama hicho barua ya kutengua uamuzi wake wa kujiuzulu Uenyekiti wa CUF.
Sasa anasubiri majibu toka kwa Katibu Mkuu, Maalim Seif baada ya ombi lake kujadiliwa na ngazi za juu za kichama.
Pia amesema Bajeti ya mwaka wa Fedha 2016/17 yenye thamani ya zaidi ya Trilioni 29.5 haiendani na uhalisia.
0 comments:
Post a Comment