Thursday, 9 June 2016

breaking news:WANAFUNZI WENGINE 534 WA ST.JOSEPH WAFUKUZWA ,HAWANA SIFA ZA KUSOMA HATA UALIMU NGAZI YA CHETI,94 TU NDIO WENYE SIFA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


WIzara ya elimu na mafunzo ya ufundi kupitia tume ya vyuo vikuu Tanzania ilifuta udahili wa wanafunzi 628 wa st.joseph arusha na kuwahamishia chuo cha st.joseph kilichopo luguruni kusomea ualimu ngazi ya digrii kwa miaka 5.

Wizara ya elimu ikishirikiana na NACTE walifanya uchunguzi na kufuatilia sifa za hawa wanafunzi,na kugundua kwamba wanafunzi 94 ndio wenye sifa za kusomea ualimu ngazi ya cheti.

Kutokana na hali hiyo TCU inatangaza kwamba wanafunzi 94 tu ndio wenye sifa za kuendelea kusoma ngazi ya cheti kati ya 628.

hivyo wanafunzi 534 hawana sifa za kusoma.


>>>>>>>>>SOMA TAARIFA KAMILI  HAPA<<<<<<<<<


                                                              PIA

 >>>>>>>>BONYEZA HAPA KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WENYE SIFA<<<<<<<<


 
"Ndugu msomaji tunaomba support kwa kutangaza nasi na kufikia wateja zaidi ya laki moja kwenye blog yetu ili tuendelee kutoa habari zenye uahika watsup au call 0768260834-kwa matangazo"

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger