Danson Kaijage-Dodoma WABUNGE wote wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameazimia kwa pamoja kuhakikisha wanakabiliana na mbunge wa Kigoma Mjini, Zito Kabwe (ACT-Wazalendo) kwa madai kuwa amekuwa kinara wa upotoshaji Umma pamoja na kuwa mstari wa mbele kupinga Mamlaka ya Spika kufanya kazi. Mbali na kujipanga kukabiliana na Zitto pia wamesema kuwa watahakikisha wanajibu hoja za zito na wapinzania kwa njia yoyote na kutoruhusu hoja za Zitto na wapinzania kwa ujumla kuendeea kusikulizwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kama ilivyo sasa. Kamati ya wabunge wa Chama…
0 comments:
Post a Comment