Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Patrobas Katambi, amesema yuko tayari usiku na mchana kupambana na kila aina ya uhalifu na ukiukwaji wa sheria Jijini Dodoma. “ Kwa Dodoma Wahalifu, wazembe, wabadhirifu, wapiga deal, wala rushwa, wakwepa kodi, wachafuzi na waharibifu wa mazingira pamoja na wavunja haki za binadamu hasa kwa wanyonge hawana nafasi hapa na hatutawavumilia hata sekunde moja. “ Vyombo vyetu vipo imara kulinda mda wote haki za Raia, za Serikali, Taasisi na makundi yote,” amesema DC Katambi. Amesema ni muda wa kuchapa kazi na kujenga nchi kama…
0 comments:
Post a Comment