INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kocha wa timu ya taifa ya
Algeria ambayo inashiriki kombe la dunia nchini Brazil, Vahid
Halilhodzic amekataa kufichua idadi ya wachezaji wake ambao wanafunga
mfungo wa Ramadhan kabla ya mechi yake na Ujerumani baadaye Jumatatu