KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems, ameanza kumwandaa beki wake, Jjuuko Murushid, kuchukua nafasi ya Erasto Nyoni, ambaye hatakuwepo katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Saoura ya Algeria Jumamosi ya wiki hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. katika Mechi hiyo Simba wanahitaji kila aina ya njia kuwakalisha waarabu ambapo Nyoni ameondolewa katika mipango ya kocha huyo katika mchezo huo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuumia goti wakati wa mechi ya juzi ya Kombe la Mapinduzi…
0 comments:
Post a Comment