Na Frankius Cleophace Tarime. Aliyewahi kuwa mgombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini kupitia CCM Michael Kembaki amezidi kutekeleza ahadi zake ambapo hii leo ametoa mabati 50 aliyokuwa amehaidi 2015 wakati wa kampeini za uchaguzi Mkuu. Akikabidhi bati hizo kwa niaba ya Kembaki Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime Hamis Mkaruka alisema kuwa Kembaki ametoa fedha taslimu Kiasi cha Shilingi Mill 1.2 kwa ajili ya ununuzi wa bati hizo 50 ambazo alihaidi kipindi cha Kampeni mwaka 2015 . “Kembaki ameweza kutimiza ahadi yake ya bati 50 ambazo alitoa ahadi kipindi akigombea…
0 comments:
Post a Comment