Baraza la mitihani la Tanzania limefuta matokeo yote ya watahiniwa 57 wa shule ya sekondari tumaini Lutheran Seminary (SO983) iliyopo katika wilaya ya malivyi mkoani morogoro kwa kufanya vitendo vya udangafu katika mitihani. Hayo yamesemwa na katibu wa baraza la mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde Jijini Dodoma ,wakati akitangaza matokeo ya kidato cha nne yaliofanyika tarehe 5 hadi tarehe 23 novemba, 2018, ambapo amesema kuwa uongozi wa shule kwa kushirikiana na walimu wa shule hiyo 6 , watahiniwa wa kidato cha nne , baadhi ya wanafunzi wa kidato cha…
0 comments:
Post a Comment