Na.Mwandishi wetu. Wafanyakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam jana wameandamana katika maandamano ya amani ya Kumpongeza Rais Magufuli kuhusiana na kusitisha kanuni mpya ya sheria ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Maandamano hayo yaliandaliwa na Shirikisho La Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA)yalipokelewa na Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva . Akizungumza katika sherehe hizo za Wafanyakazi wa mkoa huo, Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva alizitaka Halmashauri za Mkoa Dar es Salaam zote Watumishi watumie Walaka kwa ajili ya kuwahudumia…
0 comments:
Post a Comment