Wafanyabiashara na watumiaji wa soko la sabasaba lililopo jiji la Dodoma wapo katika hatari ya kupata maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kutokana na mlundikano wa uchafu uliopo ndani ya soko hilo. Akizungumza kwenye eneo hilo la dampo na waandishi wa habari mjumbe wa uogozi wa mpito soko hilo,Mabewo Daudi alisema kuwa mlundikano huo unatokana na jiji kutoondoa uchafu huo kwa wakati na kusababisha kuwepo pia kwa harufu kali. Aidha alisema kuwa kuwepo kwa uchafu huo kunaweza kuhatarisha mlipuko wa magonjwa ya tumbo kwa wafanyabishara wenyewe na hata kwa watumiaji wa…
0 comments:
Post a Comment