Na. Jovine Sosthenes Mvua, upepo mkali na mawimbi vimelikumba eneo la kusini mwa Thailand hususani katika maeneo ya vijiji vilivyo jirani na fukwe ikiwemo maeneo ya utalii yaliyokumbwa na kimbunga kikali cha Papuk. Hakuna taarifa ya vifo lakini tayari mamlaka ya hali ya hewa nchini humo imetoa tahadhari huku ikishuhudiwa mamia ya watalii wakiondoka katika maeneo waliyokuwepo. Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini humo imesema kimbunga kingine kikubwa kinatarajiwa kupiga jioni ya leo na kitakua kina kasi ya kilomita 80 kwa saa. Kimbunga hicho kinatarajiwa kupiga zaidi eneo la Nakhon…
0 comments:
Post a Comment