WAKATI kukiwa hakuna dalili yeyote ya kupatika mdhamini mkuu wa Ligi kuu soko ya Tanzania Bara ambayo inaelekea kumaliza mzunguko wake wa kwanza kocha wa timu ya Lipuli, Seleman Matola,ameibuka na kutoa ya moyoni huku akionesha kukataa tamaa kwa ligi kuwa nzuri kwenye hatua ya mzunguko wa pili.Matola ambaye ni mchezaji wa zamani wa wekundu wa msimbazi amesema kuwa mwenendo wa mzunguko wa pili kwa timu nyingi zinazoshiriki Ligi Kuu zitakuwa na hali mbaya kutokana na ugumu wa uendeshaji wa timu. Matola ambaye alicheza timu ya Simba kwa mafanikio makubwa…
0 comments:
Post a Comment