Na mwandishi wetu Mufindi Ni hali isiyo kuwa ya kawaida kwa binadamu kufika umri mrefu akiwa hai, lakini leo linathibitika kwa mara nyingine Nchini Tanzania katika kitongoji cha Ing’enyango nje kidogo ya kijiji cha Kilosa wilayani Mufindi mkoani Iringa kilomita 70 kutoka mji wa Mafinga ambapo mtandao huu umempata Mzee Silyamgoda Kalinga mwenye umri wa miaka 140 huku akiitaka jamii kuwaenzi wazee wenye umri mkubwa na kuhitaji msaada kutokana na umri alio nao. Akizungumza na mtandao huu mtoto wa mzee huyo bwana PaskalKalinga amesema kuwa mzee wake alizaliwa mwaka 1879…
0 comments:
Post a Comment