Friday, 18 January 2019

MWENYEKITI CCM TARIME APIGA TAFU UJENZI WA SHULE SHIKIZI.

...
Na Frankius Cleophace Tarime. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Tarime Mkoani Mara Daud Marwa Ngicho ametoa kiasi cha shilingi Millioni Moja, Mifuko 50 ya Saruji na Tripu 05 za Mchanga kwa ajili ya kuunga nguvu za wananchi katika ujenzi wa shule ya msingi Keweirumbe iliyopo katika kijiji cha Masurura kata ya Goronga Wilayani Tarime Mkoani Mara ili kupunguzia wanafunzi hao kutembea zaidi ya Kilometa 600. Mwenyekiti huyo alidai kuwa ameamua kuchangia Ujenzi huo baada ya kuona nguvu za wananchi katika ujenzi huo kuwa kubwa na kuonyesha nia…

Source

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger