Friday, 25 January 2019

MUIGIZAJI MAARUFU MAMA ABDUL AFARIKI DUNIA MASTAA BONGO WAONYESHA MASIKITIKO

...
Msanii wa Maigizo, Salome Nonge (Mama Abdul) amefariki dunia.  Mama Abdul alishawahi kuigiza filamu ya KIGODORO ‘kantangaze’  iliyoandaliwa na Zamaradi Mketema.  Mtangazaji, Zamaradi kupitia ukurasa wake wa Instagramu ameandika “Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa SALOME NONGE maarufu kama MAMA ABDUL.”  “Kwa wasiomfahamu kama uliwahi kuangalia filamu ya KIGODORO ‘kantangaze’ nilibahatika kufanya nae kazi enzi za uhai wake, lakini pia kwa ambao hawajabahatika kuona filamu hiyo unaweza kumuona kupitia tamthilia ya MWANTUM kwenye stesheni ya Magic Swahili DSTV,” aliandika Zamaradi huku akimalizia hiv; MUNGU amuweke mahala pema peponi Mama…

Source

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger