Saturday, 19 January 2019

MA- RPC WALIOTUMBULIWA NA LUGOLA BADO WANAENDELEA KUCHAPA KAZI…WANASHERIA WASEMA WAZIRI HANA MAMLAKA KUWATENGUA.

...
Na,Mwandishi wetu. Licha ya kutangazwa kuondolewa kwenye nafasi yake na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola, Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Arusha Ramadhani Ng’anzi ameendelea kufanya majukumu yake kama kamanda wa Mkoa wa huo. kupitia Mkutano wake na waandishi wa habari jana January 18,2019, RPC Ng’anzi alitangaza jeshi lake mkoani Arusha kuwakamata baadhi ya watuhumiwa kumiliki mitambo ya kujengea fedha bandia, hali ambayo imezua sintofahamu hasa kwenye mitandao ya kijamii. Ng’anzi alisema watuhumiwa wanne ambao hakuwataja majina yao kwa sababu za kipelelezi wanajihusisha na utengenezaji wa fedha…

Source

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger