Mahakama ya watoto ya Kisutu imepokea jumla ya mashauri 118 ya jinai na makosa 295 ya madai yalipokelewa na kufanyiwa kazi kwa mwaka 2018. Hayo yamebainishwa na hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Kisutu Bi. Agness Mchome wakati akimpa maelezo katibu mkuu wizara ya Afya ,maendeleo ya jamii,Jinsia,wazee na watoto idara kuu maendeleo ya jamii Dkt John Jingu alipotembea mahakama ya watoto kisutu. Hakimu Mchome amewataka wazazi kutimiza wajibu wao wa malezi kwa watoto ili kuwaepusha na mashitaka yanayozuilika kwani watoto wengi wanaofikishwa mahakamani hapo ni wale ambao wazazi…
0 comments:
Post a Comment