NA KAROLI VINSENT Katibu mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini, Joyce Fissoo amesema msanii wa filamu, Wema Sepetu hajafunguliwa kujihusisha na masuala ya uigizaji kama inavyovumishwa mitandaoni. Bi Fisso ameyasema hayo leo Jumatano Januari 9 Jijini Dar es Salaam,wakati akizungumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Bodi hiyo wakati wa kujadili Tasmini ya Tamasha la “KATAA MIHADARATI” lililofanyika katika viwanja vya Mburahati Barafu jijini Dar es Salaam. Amesema endapo msanii huyo atafunguliwa Baraza hilo litaitisha mkutano na waandishi wa habari kwa ajili ya kulieleza jambo hilo na si kama inavyoelezwa…
0 comments:
Post a Comment