Na. Jovine Sosthenes. Msanii wa mziki Bongo, Ambwene Allen Yessayah alimaarufu kama AY , ameonyesha nia ya kutumia jina la mtoto wake wa kwanza katika kutengeneza fedha zaidi kama wanavyofanya wasanii wakubwa na watu maarufu dunia. Msanii AY Ameweka Kwenye Page yake ya Instagram Ujio wa Kampuni ambayo Ameipa Jina la Mtoto wake wa Kwanza Aviel na Kuandika Kuwa Hii Itakuja Hivi Karibuni Ujumbe aliouandika kwenye Ukurasa wake wa Instagram ulikuwa unasema “COMING SOON #AvieSafaris #Safari #Tanzania” Utakumbuka AY na mkewe, Remy walifunga ndoa February 24, 2018 na sherehe hiyo ilifanyika katika…
0 comments:
Post a Comment