Mwanafunzi na mwanachuo wa chuo kikuu cha SUA anaetambulika kwa jina la Magreth amejichoma kisu tumboni na kupata majeraha.
Mwanafunzi huyo amejichoma kisu akiwa chumbani kwake maeneo ya hosteli zilizopo barakuda mazimbu.
Maswayetu blog imefanikiwa kufanya uchunguzi na kuongea na baadhi ya wanafunzi ambao ni marafiki zake,wamedai kwamba kisa cha kujichoma kisu ni kutokana mapenzi ,lakini wakasisitiza kwa kusema kwamba yawezekana kuna swala jingine,lakini wanahisi ni mapenzi.
Hata hivyo jitihada za kumtafuta na kuongea nae yeye mwenyewe ziligonga mwamba kutokana na binti huyo kuwa hospital akiwa aanatibiwa.
Endelea kutembela MASWAYETU BLOG kwa habari mbalimbali za uhakika.
kama una taarifa yoyote tutumie watsup kwa namba 0768260834 tutairusha moja kwa moja na itafikiwa na watu zaidi ya laki moja kwa siku.
0 comments:
Post a Comment