Saturday, 13 July 2019

MAOMBI YA KUJIUNGA VYUO VIKUU KUANZA RASMI JUMATATU JULAI 15.....HII HAPA TAARIFA RASMI YA TCU

...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Charles Kihampa amezungumzia wahitimu wanaohitaji maombi ya Vyuo vya Elimu ya Juu kuzingatia umakini katika uombaji kwa sababu hakuna kubahatisha.


Prof.Kihampa amesema wanaoomba maombi hayo wanapaswa kuomba kupitia tovuti za Vyuo husika na yatafanyika kwa njia ya Elektroniki.

Advertisement
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger