Saturday 27 July 2019

AZIM DEWJI ,WAANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI

...


Mfanyabiashara, Azim Dewji, na waandishi watatu wa vituo vya televisheni vya ITV, Channel Ten na Azam TV wamepata ajali jana, Julai 27, 2019, asubuhi baada ya gari lao kuacha njia wakati wakiwa njiani kuelekea Rufiji kwenye sherehe za uwekaji jiwe la msingi la mradi mkubwa wa umeme wa MW 2,115 wa Rufiji mkoani Pwani.
Kwa sasa Azim Dewji amelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha mifupa (MOI) akipatiwa matibabu baada ya mfupa wake mmoja wa uti wa mgongo kuvunjika ajalini. Watu wote waliokuwa kwenye gari hilo wametoka salama.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger