Unaambiwa
club ya Villareal imemfungia maisha yule shabiki ambae alionyesha
kitendo cha kibaguzi kwa kumrushia ndizi Dani Alves, kitendo ambacho
kilitafsiriwa kwa Alves kufananishwa na nyani.
Wachezaji kadhaa wamemsupport kwa
ujasiri wake wa haraka na kula ndizi hiyo aliyotupiwa uwanjani alafu
akaendelea na game kama kawaida ambapo miongoni mwa waliomsupport ni
Neymar.
Mwingine alieonyesha support ni
Samuel Eto’o ambae baada ya kuweka picha zake mbili akiwa kwenye magari
yake ya kifahari na kuandika ‘samahani nilisahau kuuliza, kuna yeyote
anataka kuwa nyani kama mimi?’




0 comments:
Post a Comment