Monday 21 April 2014

JINI KABULA KUOLEWA NA BUSHOKE, SOMA ALICHOKISEMA HAPA

...

Bushoke-Kabula-vibe-co-tz

2014 unaweza kua mwaka mzuri kwa mrembo kabula.Mrembo huyo aliye panda hewani kama mwenye undugu na Hasheem Thabeet inaelekea kama mwaka huu utakuwa mzuri sana kwake kwani yale mahusiano yake ya muda mrefu na mpenzi wake Bishoke sasa ndoa inanukia . 

Vibe ilipomtafuta hewani alikiri kiwepo kwa ndoa hiyo na mpaka sasa mipango iko sawa kabisa”naolewa kwenye mwezi wa saba hivi then tunahamia south ila detail nitatoa pale tu Bushoke atakapo tua nchini” alisema Kabula. Kabula alipokua  juu sana wakati huo ndani ya tamthilia ya Jumba la dhahabu aliwahi kupata mtoto mmoja.

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger