Katika
salama za pasaka viongozi wa dini wa katoliki 32 wamesema maoni ya
wananchi katika rasimu ndio msingi wa katiba hivyo wamewataka wajumbe wa
bunge la katiba wa yaheshimu kama yalivyo wasilishwa na jaji warioba
bungeni,wamesema wajumbe wa tume waheshimiwe kwakua taasisi zote,mtu
mmoja mmoja na makundi mbali mbali ya kijamii yalipata nafasi kupeleka
maoni yao mbele ya tume ya warioba,hivyo wanapashwa kuheshimu rasimu
hiyo iliyo beba maoni ya wananchi hakuna haja ya wakuidharau tume iliyo
undwa na watu makini na wanao heshimika katika taifa letu
0 comments:
Post a Comment