Unapo
kuwa nyumbani , tena ni vizuri ikiwa weekend mkiwa wote mko nyumbani,
hakikisha unapata nafasi ya kuoga pamoja na mpenzi wako, hivi ni vitu
vidogo dogo sana vinavyoweza kufanya mapenzi yenu yawe mapya kila siku.
Wakati
wa kuoga fanya mbwe mbwe kidogo msugue mwenzako, mgongoni hata sehemu
nyingine hii sio kwa wanawake tu hii ni kwa wapenzi wote wawili tena
hususani zaidi kwa wanaume hili ndio zoezi lao, mkimaliza kuoga chukua
taulo na mfute mke wako vizuri kisha, chagua yale mafuta anayoyapenda
zaidi mpake huku mkipiga story mbili tatu.
Inabidi
tufahamu kuwa kunavitu unaweza kuviona ni vya kipuuzi sana kwenye
mapenzi lakini, ndio vinavyokukosesha maksi kila siku. Usipomfanyia
hivyo kuta watu wengine watafanya halafu utaonekana huna maaana..!!
Kantagaze Nimekwambia
Kantagaze Nimekwambia
0 comments:
Post a Comment