
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa
Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya
usaili kuanzia tarehe 04 hadi 30 Machi, 2014 kuwa walioorodheshwa
katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa...