Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage leo
amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa shirika la Viwango Tanzania TBS Bwana Joseph B. Masikitiko ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.
Pia Waziri Mwijage ameagiza Bwana Emmanuel M. Ntelya Meneja wa
Fedha, Mipango na Utawala wa TBS,...
Thursday, 30 June 2016
KESI YA UCHOCHEZI:TUNDU LISSU APEWA DHAMANA,YAHAIRISHWA HADI AGOSTI 12 2016
Mh Tundu Lissu apandishwa kizimbani Muda huu mahakama ya kisutu kwa
zile tuhuma za maneno ya kuudhi, nunachokisubiri hapa ni maneno mengine
yenye tafsiri nyingine kwa watu wengine atakayoitoa leo baada ya kupata
dhamana panapo majaliwa. Ndio kwanza kumekucha mapambano yataendelea.
UPDATES:
Lissu...
UFAFANUZI KUHUSU SIFA, VIGEZO NA MASHARTI YA KUPATA MKOPO 2016/2017
Habari zenu;
Kwanza natumaini mu wazima wa afya,pia kwa upande wangu namshukuru Mungu nipo fresh kabisa.
Leo nimeamua kufafanua kwa kina vigezo na masharti ya Kupata mkopo mwaka wa masomo 2016/2017.
NANI ANAFAA KUPATA MKOPO?
mwanafunzi anaehitaji mkopo lazima akidhi vigezo vifuatavyo;
1.yatima...
Breaking news:Wabunge wa CHADEMA Joseph Mbilinyi, Kubenea na James Millya wasimamisha kuhudhuria vikao vya Bunge
Wanajamvi wasalaam!
Leo hii kamati ya haki,maadili na madaraka ya bunge leo inataraji kusoma
taarifa ya shauri la Mbunge Joseph Mbilinyi baada ya kutoa ishara ya
matusi bungeni na kunaswa na kamera za bunge!
Tunataraji Mbunge Mbilinyi kupewa adhabu kali ili iwe fundisho kwa vizazi na wabunge wa aina yake ndani na nje ya bunge!
Kwakuwa Joseph Mbilinyi alitoa ishara ya matusi kwa bunge na wabunge...
Polisi Yaua Majambazi Matatu Yaliyokuwa Yamejificha Katika Mapango ya Amboni
POLISI
mkoani Tanga imewaua watu watatu katika mapigano ya risasi wanaodaiwa
kuhusika katika mauaji ya watu jijini humo wakiwamo watu wanane
waliochinjwa katika Kitongoji cha Kibatini, Kata ya Mzizima.
Limewahakikishia
wananchi kwamba eneo la Amboni yakiwemo Mapango ya Majimoto...
Wednesday, 29 June 2016
VIDEO:TUNDU LISSU AWEKWA RUMANDE,HII HAPA VIDEO ALIYOMUITA RAIS JPM DIKTETA UCHWARA
June 28 2016 Mbunge wa Singida
Mashariki, Tundu Lissu alifikishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kwa
ajili ya kujibu tuhuma za uchochezi kupitia gazeti la mawio kwenye
habari yenye kichwa kinachosema ‘Zanzibar Machafuko yaja’ dhidi...
BREAKING NEWS: WANAFUNZI 10 CHUO CHA BUGANDO WAFUKUZWA CHUO,BAADA YA KUKIUKA SHERIA ZA MITIHANI

Habari zilizotufikia ni kwamba wanafunzi 10 wa chuo cha Bugando wamefukuzwa chuo kutokana na kukamatwa wakiibia kwenye chumba cha mtihani.
SOMA BARU HII HAPO CHINI;
...
UHAMISHO FORM 5 2016:SERIKALI YAPIGA MARUFUKU

SERIKALI
imesema shule zote zenye nafasi za wanafunzi wa kujiunga na kidato cha
tano mwaka huu, zimejaa hivyo hakuna nafasi ya mwanafunzi kubadilishiwa
shule au mchepuo aliochagua.
Hayo yalibanishwa jana katika taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya
habari mjini hapa na Msemaji wa Ofisi...
AJALI YA BASI:WATU WATANO WAFARIKI ,13 WAJERUHIWA JIJINI MWANZA

WATU
watano wamefariki dunia na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali ya basi
lenye namba za usajili T. 449 BCB mali ya kampuni ya Super Sami
lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza.Ajali hiyo imetokea
usiku wa kuamikia leo katika eneo la Bashini Kata ya Mabuki Wilaya ya
Misungwi mkoani...