WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua jengo la tatu la abiria kwenye kiwanja cha ndege cha Mwalimu Nyerere ili kuona maandilizi ya mapokezi kwa wajumbe wa mkutano wa SADC.
Akizungumza na watendaji wa Serikali pamoja na Kamati ya maandalizi uwanjani hapo leo jioni (Jumatano, Julai 31, 2019), Waziri...
Wednesday, 31 July 2019
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan Awataka Wadau Wa Mazingira Kutekeleza Sheria,kanuni,na Taratibu Za Mazingira.

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.
MAKAMU wa Rais SAMIAH SULUHU HASSAN amewataka wadau wa mazingira kutekeleza Sheria,Kanuni na maandiko ili kuhimiza utunzaji wa rasilimali misitu na kurahisisha upatikanaji wa rasilimali za maji.
Akizindua jukwaa la maendeleo endelevu kuhusu usimamizi bora wa...
KISANDU ACHAGULIWA KUWA NAIBU MEYA MANISPAA YA SHINYANGA
Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga John Kisandu
Na Marco Maduhu - Malunde1 blog Shinyanga
Diwani wa Kata ya Chibe manispaa ya Shinyanga John Kisandu (CCM) amechaguliwa kwa mara nyingine tena kuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga, na kumshinda mpinzani wake Zena Gulamu (Chadema).
Uchaguzi...
Call for Papers: UNESCO Regional Conference on Africa 2019 – Accra, Ghana (Funded)
Call for Papers: UNESCO Regional Conference on Africa 2019 – Accra, Ghana (Funded), Call for Abstracts – Assessing challenges and opportunities towards effective governance of diversity in Africa. UNESCO is opening a call for abstracts in preparation of a Regional Conference on the theme: Governance of Diversity: Challenges and Opportunities for Sustainable Development and Peaceful Coexistence in...
Wananchi 144 Jijini Dodoma Wakabidhiwa Hatimiliki Kwa Masharti Nafuu.

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.
Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amekabidhi hati ya viwanja kwa wananchi 144 wa Kata ya Tambukareli ambao maeneo yao yalitwaliwa na Serikali.
Kunambi amekabidhi hati hizo leo Julai 31,2019 kwa wananchi hao ambao wamekuwa wakihangaika takriban...
Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume, Maumbile Madogo

SUPER MORISIS; nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa muundo wa vidonge na unga , Huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-85) Inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa na itakufanya uwe...
MUONEKANO WA DARAJA LA RELI YA KISASA YA SGR ENEO LA SHAURIMOYO JIJINI DAR ES SALAAM

Muonekano wa sehemu ya Daraja la Reli ya SGR litalopita juu kutoka Ilala hadi Stesheni ya Dar es salaam linavyoonekana likimaliziwa kujengwa maeneo ya Shaurimoyo kama lilivyopigwa picha leo na Issa Michuz...
Makusanyo Ya Kodi Kwa Kipindi Cha Mwaka Wa Fedha 2018/19

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya jumla ya TZS 15.9 trilioni kati ya lengo la TZS 18 trilion kwa mwaka wa Fedha 2018/19 kuanzia tarehe 1 Julai 2018 hadi 30 Juni 2019. Aidha katika robo ya nne ya mwaka huo wa fedha yaani, mwezi Machi hadi Juni 2019, TRA ilikusanya TZS 1.1 trilioni,...
MKUU WA MKOA WA MARA AZINDUA KAMPENI YA 'NYUMBA NI CHOO'

Mkuu wa mkoa wa Mara Adam Malima
Na Asha Shaban - Mara
Zaidi ya kaya 22,540 zinadaiwa kuwa na ukosfu wa vyoo bora katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara jambo ambalo linafanya kaya hizo kujisaidia sehemu zisizo rasmi ikiwemo ndani ya Ziwa Victoria.
Kufuatia kuwepo kwa idadi kubwa za kaya kukosa vyoo...
Makerere University Mak Graduate Admission Lists for 2019/20 Academic Year

makerere graduate admission list 2019 admission list makerere university postgraduate admission list makerere university graduation list 2019 makerere university masters admission 2019 makerere university graduate admission 2019/20 makerere university admission list 2019/20 makerere university graduation...
Wananchi Waishukuru TARURA baada ya kutatuliwa kwa kero yao ya muda mrefu kwa kujengewa Daraja la Chuma

Na. Erick Mwanakulya
Wananchi wa Kata ya Chita Melela iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro, wameshukuru Serikali kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) baada ya kutatuliwa kwa kero yao ya muda mrefu kwa kujengewa Daraja la Chuma (Mabey Bridge)...
Ombi la Rais Magufuli kwa kampuni ya ujenzi Njombe latekelezwa

Na.Amiri kilagalila-Njombe
Kampuni ya ujenzi wa barabara ya kichina China Henan international cooperation group co ltd (CHICO) inayotekeleza mradi wa barabara wa km 53.9 Njombe-Moronga kuelekea wilayani Makete mkoani Njombe.
Imeanza utekelezaji wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa pamoja na bwalo...
JESHI LA POLISI LATOA UFAFANUZI KIFO CHA MTUMISHI WA WIZARA YA FEDHA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, ametolea ufafanuzi kifo cha mtumishi wa Wizara ya fedha, Leopard Lwajabe (56), ambaye mwili wake ulipatikana ukiwa umening’inia kwenye mti wa muembe katika kijiji cha Mgoza wilayani Mkuranga.
Mambosasa amesema uchunguzi wa awali...
Uhamiaji Yafunguka suala la Kushikiliwa Mwandishi Erick Kabendera
Na. Mwandishi Wetu.
Serikali kupitia Idara ya Uhamiaji imetoa ufafanuzi kuhusu Mwandishi wa kujitegemea Erick Kabendera baada ya kusambaa kwa taarifa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kuwa amekamatwa na anahojiwa kuhusu uraia wake na Idara ya Uhamiaji Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza...
Korea Kaskazini Yafyatua Makombora Mengine Mawili

Korea Kaskazini imefyatua tena makombora mawili ya masafa mafupi leo, ikieleza kuwa ni onyo kwa Korea Kusini dhidi ya mpango wake wa kufanya mazoezi ya kijeshi pamoja na Marekani.
Korea Kusini imesema, makomobora hayo mawili yalirushwa kutoka eneo la Winsan la pwani ya mashariki majira...
MKUU WA WILAYA YA MISSENYI KANALI MWILA AONYA WANANCHI KUHIFADHI WAHAMIAJIA HARAMU

Mkuu wa wilaya ya Missenyi Kanali Denice Mwila
Na Lydia Lugakila - Malunde1 blog Bukoba
Mkuu wa wilaya ya Missenyi mkoani Kagera Kanali Denice Mwila amewataka wananchi wilayani Missenyi kuacha tabia za kuwapokea na kuwahifadhi wahamiaji haramu kutoka nchi jirani kwani tabia...
Tudu Lissu Kasema Kwa Sasa Kapona, Hatumii Tena Dawa wala Magongo

Mwanasheria Mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu amesema amehitimisha matumizi ya dawa alizoanza kuzitumia tangu Septemba 7 mwaka 2017.
Lissu alianza kutumia dawa hizo Septemba 7 mwaka 2017 baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 akiwa katika makazi yake...
MGEJA AMUOMBA WAZIRI MKUU KUITISHA MKUTANO WA WADAU WA MICHEZO NCHINI

Mwenyekiti mstaafu wa chama cha soka mkoani Shinyanga (SHIREFA) Khamis Mgeja ambaye pia ni mdau mkubwa wa soka nchini amemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Kassim Majaliwa kuitisha Mkutano wa wadau wa sekta ya michezo nchini ili kujadili...