Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Bw. Wiseman Mwakyusa
Luvanda(2) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga
safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka
Mbeya kuelekea Dar es
salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa
uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10
ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28,
2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya
Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya
maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Kiongozi
wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) (kulia) na John Mwaipyana
(27) Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa
baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa
madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora
ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi
wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28,
2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya
Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya
maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Bw. John Mwaipyana (27)
mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa
baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa
madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora
ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi
kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda
baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa
Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa
ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwangalia Bw. John Mwaipyana (27)
akionesha uwezo wake wa kucheza sarakasi kwa baiskeli aina ya Phoenix.
yeye mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari
kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa
madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora
ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi
kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda
baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa
Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa
ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Bw. Wiseman
Mwakyusa Luvanda(25) (kushoto ) na John Mwaipyana (27) Wapanda baiskeli
wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830
kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais
jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko
mengi katika miaka yake 10 ya uongozi wakiwasili kwenye viwanja vya
Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao
wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya
muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na
kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru na kumpongeza Kiongozi wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda (25) mmoja wa wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru na kumpongeza Bw. John Mwaipyana
(27) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari
kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa
madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora
ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi
kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda
baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa
Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa
ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipitia kitabu maalumu alichopewa na kiongozi wa
msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) mmoja wa Wapanda baiskeli
wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830
kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais
jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko
mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es
salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi
jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha
kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye
daftari la mpiga kura.
Jakaya
Mrisho Kikwete akizungumza na Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) na Bw.
John Mwaipyana, Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga
safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es
salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa
uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10
ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28,
2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya
Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya
maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipitia kitabu maalumu alichopewa na kiongozi wa
msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) mmoja wa Wapanda baiskeli
wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830
kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais
jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko
mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es
salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi
jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha
kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye
daftari la mpiga kura.
0 comments:
Post a Comment