WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi wamevamia Benki ya NMB tawi la Mkuranga mkoani Pwani na kupora fedha kisha kumuua askari mmoja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafary Mohamed ameuthibitishia mtandao huu kutokea kwa tukio hilo na kwamba kwa sasa yupo njiani kuelekea eneo la tukio.
"Taarifa hizo nimezipata kuwa watu hao wanaodhaniwa kuwa majambazi kuvamia Benki ya NMB, Mkuranga na kupora fedha ambazo kiasi chake bado hakijafahamika kisha kumuua askari mmoja aliyekuwa nje ya uzio wa eneo hilo la benki ambaye hakuwa kazini ila walinzi wote wa benki wapo salama na silaha zao hazijachukiliwa. Kwa sasa nipo njiani kuelekea eneo la tukio kupata taarifa zaidi." Alisema Kamanda huyo.
MAJAMBAZI YAUA ASKARI NA KUPORA FEDHA BENKI YA NMB Baraka Mwago - Facebook 3 hrs · "Mkuranga tumepata mtihani wa uvamizi wa majambazi katika bank pekee ya NMB na askari mmoja kapoteza maisha. Allah tuepushe na mtihani huu maana Mkuranga tunaanza kuvuma kwa sifa mbaya mbaya za uvamizi na mauaji." WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi wamevamia Benki ya NMB tawi la Mkuranga mkoani Pwani na kupora fedha kisha kumuua askari mmoja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafary Mohamed ameuthibitishia mtandao huu kutokea kwa tukio hilo na kwamba kwa sasa yupo njiani kuelekea eneo la tukio. "Taarifa hizo nimezipata kuwa watu hao wanaodhaniwa kuwa majambazi kuvamia Benki ya NMB, Mkuranga na kupora fedha ambazo kiasi chake bado hakijafahamika kisha kumuua askari mmoja aliyekuwa nje ya uzio wa eneo hilo la benki ambaye hakuwa kazini ila walinzi wote wa benki wapo salama na silaha zao hazijachukiliwa. Kwa sasa nipo njiani kuelekea eneo la tukio kupata taarifa zaidi." Alisema Kamanda huyo.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
0 comments:
Post a Comment