Kumb. Na. EA.7/96/01/G/35
01 Julai, 2014
KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu
waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 04
hadi 12 Juni, 2014 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu
usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika
tangazo hili.
Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi
walivyopangiwa katika muda ambao umeainishwa kwenye barua zao za
kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates)
vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri
kabla ya kupewa barua ya ajira.
Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.
Aidha, wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba mara nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.BONYEZA HAPA KUANGALIA MAJINA HAYO
0 comments:
Post a Comment