Kulia ni Ofisa Mahusiano ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Shinyanga (SHUWASA), Nsianel Gelard akimkabidhi Kalenda za mwaka 2019 Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC),Kadama Malunde
Zoezi la makabidhiano ya kalenda likiendelea. Wa kwanza kulia ni Ibrahim Mwita kutoka SHUWASA,Wa pili kutoka kushoto ni Mweka Hazina wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC), Stella Ibengwe.
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC), Kadama Malunde akiwa ofisini baada ya kupokea kalenda kutoka SHUWASA
0 comments:
Post a Comment