NA KAROLI VINSENT NI wazi kuwa Kauli aliyoitoa mbunge wa Kibamba (Chadema), John Mnyika kuhusu demokrasia, bomoabomoa na vyuma kukaza imemvuruga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ndivyo unaweza ukasema Baada ya Mnyika ndipo ikamfanya Makonda kuanza kueleza masuala mbalimbali yaliyofanywa na Rais John Magufuli tangu aingie madarakani. Wa Kwanza kuanza kuibua majadala huo ni Mbunge Mnyika ambapo alipopewa nafasi ya kusalimia wananchi,alitumia nafasi hiyo kulalamikia kukosekana kwa Demokrasia ,Kukosekana kwa Utu kwenye Bomoa Bomoa pamoja na Hali mbaya ya Uchumi waliokuwa nayo watanzania kwa sasa (Vyuma…
0 comments:
Post a Comment