MABINGWA wa Kihistoria timu ya soka ya Yanga,wamepania kuhakikisha wamlalua kila anayekuja mbele yake baada ya kuhaidi kuzitumia dakika ngumu 180 kuthibitisha kwamba hawakuwa wakibahatisha kwenye mzunguko wa kwanza. Watoto hao wa Jangwani ambao Kikosi chao hicho kinanolewa na cha mwenye maajabu yake , Mwinyi Zahera hadi sasa kimecheza mechi 17 na kati ya hizo imeshinda 15 ikiwa imepata alama 47. Lakini kibarua kizito kinakuja kukamilisha mzunguko wa kwanza. ambapo ni ni dhidi ya Mbeya City na Azam FC. Endapo Yanga itafanikiwa kushinda mechi hizo mbili, itakuwa imefikisha alama 53…
0 comments:
Post a Comment