WAKATI Wakulima wa Korosho wakiwa wanailalamikia Serikali kwa hatua ya kuchelewesha malipo yao huku wengine wakikata tamaa ni wazi suala hilo limeendelea kupigwa “dana dana” ndivyo naweza kusema baaada ya Serikali kuibuka na kutangaza kuzifunga kwa muda akaunti 191 za benki zinazomilikiwa na wakulima wa korosho kupisha uhakiki wa kina wa umiliki wa korosho walizouza. Uamuzi huo unakuja wakati ikiwa imeshaingiza Sh3.8 bilioni kwenye akaunti hizo katika mfululizo wa uhakiki na ulipaji wakulima wa zao hilo unaoendelea nchini. Akizungunza na gazeti la The Citizen, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga alisema…
0 comments:
Post a Comment