NA KAROLI VINSENT MLETENI yeyote yule kwa Simba hii iliyosheheni wachezaji Nyota lazima watakaa ndivyo naweza kusema baada ya leo droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2018/19 inatarajiwa kupangwa. Mabingwa hao wa Ligi kuu ya Tanzania Bara,Timu ya Simba ni miongoni mwa timu ambazo zimefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika,. Wakimataifa hao ambao wananolewa na kocha ambaye anasifika kwa “Fomesheni” ya hatari ,Mbelgiji Patrick Aussems ,kupitia kwa nahodha wa timu hiyo mshambuliaji , John Bocco(Adebayo) amebainishwa kuwa hawaogopi kupangwa na…
0 comments:
Post a Comment