Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akimjulia hali Mufti Mkuu wa Tanzania
Sheikh Abubakar Zubeiry aliyelazwa kwa matibabu katika taasisi ya Moyo
ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Pamoja
naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Mhe
Ummy Mwalimu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Masaju pamoja na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa Mohamed Janabi leo
Jumatatu February 8, 2016.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisindikizwa wakati wa kuondoka baada ya
kumjulia hali Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry aliyelazwa
kwa matibabu katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali
ya Taifa ya Muhimbili.
Pamoja
naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Mhe
Ummy Mwalimu na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa Mohamed
Janabi leo Jumatatu February 8, 2016.
0 comments:
Post a Comment