TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO AWAMU YA PILI – MWAKA WA MASOMO 2015/2016
MKUU WA CHUO – TAASISI YA UHASIBU TANZANIA [TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (TIA)] ANAWAKARIBISHA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE 2015 NA WALE WALIOMALIZA MIAKA YA NYUMA, KUJIUNGA NA KOZI YA CHETI CHA AWALI YAANI BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE (NTA LEVEL 4) KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 AWAMU YA PILI (SECOND INTAKE) KATIKA KAMPASI ZAKE ZA DAR ES SALAAM, MBEYA, SINGIDA, MTWARA, MWANZA NA KIGOMA KWENYE FANI ZIFUATAZO:-
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI IJUMAA TAREHE 04/03/2016.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA:
SIMU Na. 0714 914 805, 0754 376 371; AU
Baruapepe: tia@tia.ac.tz

- UHASIBU (ACCOUNTANCY)
- UNUNUZI NA UGAVI (PROCUREMENT & LOGISTICS MANAGEMENT)
- Mwombaji awe amefaulu angalau masomo 3 kwa kiwango cha alama “D” au zaidi kwenye mtihani wa kidato cha nne; Au
- Awe na cheti cha mafunzo ya ufundi daraja la pili (NVA 2) kutoka chuo cha VETA, ambaye pia ana ufaulu wa masomo angalau mawili kwenye matokeo ya kidato cha nne.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI IJUMAA TAREHE 04/03/2016.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA:
SIMU Na. 0714 914 805, 0754 376 371; AU
Baruapepe: tia@tia.ac.tz
0 comments:
Post a Comment